Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe
Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati wa ziara yake kutembelea Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani
Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akichota mchanga kuweka kwenye Toroli wakati alipoenda kuangalia Maendeleo ya
Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani

No comments:
Post a Comment