Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maafisa Wadhamini wa Wizara Pemba wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) kuzungumza na Maofisa Wadhamini wa Wizara Pemba, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maafisa Wadhamini wa Wizara Pemba wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.
BAADHI ya
Maofisa Wadhamini wa Wizara za
Serikali Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa mkutano huo
uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba wakati wa ziara yake
Pemba.

Pemba

No comments:
Post a Comment