Habari za Punde

Vijana Pemba Wapatiwa Elimu ya Kujikinga na Maambukizo ya Corona

AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba Bi.Fatma Hamad Rajab, akibandika stika katika moja ya Vespa ikiwa ni uzinduzi wa kikundi cha vijana waliopatiwa elimu ya Corona na Kwenda kuelimisha wananchi vijijini ambako gari hazifiki, zoezi linalosimamiwa na Red Cross Pemba
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba Bi.Fatma  Hamad Rajab, akibandika stika katika bajaji ikiwa ni uzinduzi wa kikundi cha vijana waliopatiwa elimu ya Corona na Kwenda kuelimisha wananchi vijijini ambako gari hazifiki, zoezi linalosimamiwa na Red Cross Pemba 
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba Bi.Fatma Hamad Rajab, akizungumza na Vijana wa Uhamasishaji wa utoaji wa elimu kwa wananchi wa Vijijini juu ya kujikinga na ugonjwa wa Corona, zoezi linalosimamiwa na Red Cross Pemba, uzinduzi uliofanyika Gombani 
VIJANA  wa uhamasihaji wa kuelimisha jamii juu ya maradhi ya Corona Vijijini kwa kutumia Pikipiki , Vespa na Bajaji,  wakisubiri uzinduzi wa uhamasishaji wa utoaji wa elimu ya Corona kwa wananchi wa Vijijini kwa Wilaya ya Chake Chake zoezi linalosimamiwa na Red Cross Pemba, uzinduzi huo umefanywa katika uwanja wa michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.