Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasili kwenye Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi ( NEC), Njedengwa, jijini Dodoma, wakati alipoenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo, linalojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya SUMA JKT
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi ( NEC), lililopo Njedengwa, jijini Dodoma, linalojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya SUMA JKT
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Msimamizi na Meneja Mradi, Godwin Maro, wakati alipoenda kukagua ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi ( NEC), iliyopo Njedengwa, jijini Dodoma.

No comments:
Post a Comment