Habari za Punde

BHAA Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Mhe Hussein Ibrahim Makungu Ajitosa Kinyanganyiro cha Kuwania Urais wa Zanzibar Akiwa Mwanachama wa 21 Kuchukua Fomu ya Urais CCM.

 
Kada wa Chama cha Mapinduzi Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Zanzibar Mhe Hussein Ibrahim Makungu akiomba dua katika kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibare Marehemu Mzee Abeid Amani Karume mara baada ya kuchukua Fomu ya Kogembea Urais wa Zanzibar. hafla hiyo imefanyika leo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.Akiwa Mwanachama wa CCM 21 kuchukua Fomu ya Urais kupitia CCM.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Mhe. Hussein Ibrahi Makungu akitoka katika jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui baada ya kumaliza zoezi la uchukuaji wa Fomu ya kugombea kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.
Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Mkoba wenye fomu ya Urais wa Zanzibar Mgombea Urais  Mhe Hussein Ibrahim Makungu, alipofika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuchukua fomu leo. Akiwa Mwanachama wa 21 wa CCM kuchukua fomu ya Urais wa Zanzibar. 
Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Mkoba wenye fomu ya Urais wa Zanzibar Mgombea Urais  Mhe Hussein Ibrahim Makungu, alipofika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuchukua fomu leo. Akiwa Mwanachama wa 21 wa CCM kuchukua fomu ya Urais wa Zanzibar. 
Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Urais wa Zanzibar Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Zanzibar Mhe. Hussein Ibrahim Makungu (BHAA) wakati wa hafla ya zoezi la uchukuaji wa fomu ya Urais kwa Wanachama wa CCM Zanzibar katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.. Akiwa Mwanachama wa 21 wa CCM kuchukua fomu ya Urais wa Zanzibar. 
Msafara wa Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Zanzibar Mhe. Hussein Ibrahi Makungu akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu Kisiwandui Jijini Zanzibar, kwa ajili ya uchukuaji wa Fomu ya kuwania kinyanganyiro cha Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi.  
Mgombea Urais wa Zanzibar Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Zanzibar Mhe. Hussein Ibrahim Makungu akishuka katika gari baada ya kuwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kwa ajili ya uchukuaji wa Fomu ya Urais leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.