Habari za Punde

Kada ya 14 wa Chama Cha Mapinduzi Mhe Jecha Ajitokeza kuchukua Fomu ya Urais leo 20-6-2020.

Kada wa CCM Mhe. Jecha akifurahia baada ya kukabidhiwa Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar valipofika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kwa ajili ya kuaza zoezi hilo la uchukuaji wa Fomu ya Urais akiwa Mwanachama wa 14 wa Chama cha Mapinduzi kuchukua fomu ya Urais.
Kada wa Chama cha Mapinduzi wa 14 ajitikeza kuchukua Fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Jecha amejitokkeza leo kuchukua fomu hiyo katikia Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, akiwaonesha Mkoba uliokuwa na fomu hizo baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar.
Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mhe Jecha , alipofika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo asubuhi. 
 Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mhe Jecha , alipofika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo asubuhi.

Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Jecha akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Waandishi wa habari baada yac kumaliza zoezi la uchukuaji wa Fomu katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo.

 Mhe. Jecha akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali hawapo pichani baada ya kumaliza kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.