Habari za Punde

MABULA ATAKA UPIMAJI MAENEO YA MIGODI KUEPUKA MIGOGORO

Taswira ya jengo la Ofisi ya Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Biharamulo mkoa wa Geita lililojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akioongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (Kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Geita Josephat Maganga kuelekea kuzungumza na watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa wa Geita wakati wa ziara ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa wa Geita wakati wa ziara ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Geita Josephat Maganga na kushoto  ni Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Geita Rugambwa Banyikila 
Baadhi ya Watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa wa Geita awakimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula wakati wa ziara ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiingia kukagua jengo la Ofisi ya Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Biharamulo mkoa wa Geita lililojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati wa ziara yake katika mkoa wa Geita mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya ya Chato, Watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu na watendaji wengine mbele ya  jengo la Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Biharamulo mkoa wa Geita wakati wa ziara yake katika mkoa ho mwishoni mwa wiki.
 (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.