Habari za Punde

Maziko ya Mpiga Picha wa Wzziri Mkuu Chris Mfinanga Kijiji Kwao Mangio Vuchama Wilayani Mwanga

Mama mzazi wa aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Christopher Mfinanga akipita kuaga mwili wa mwanaye wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika jana Juni 3, 2020 kijijini Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga 
Wachungaji na Padri walioshirikiana kuongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Christopher Mfinanga wakichukua udongo ili wauweke kaburini kwenye mazishi yaliyofanyika jana Juni 3, 2020 katika makaburi ya familia kijijini Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga.
Padre Japhet Njaule wa parokia ya Vuchama akipanda msalaba kweye kaburi la aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Christopher Mfinanga wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana Juni 3, 2020 katika makaburi ya familia kijijini Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Tom Apson akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Christopher Mfinanga wakati wa mazishi yaliyofanyika jana Juni 3, 2020 katika makaburi ya familia kijijini Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga
Wachungaji na Padri walioshirikiana kuongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Christopher Mfinanga wakichukua udongo ili wauweke kaburini kwenye mazishi yaliyofanyika jana Juni 3, 2020 katika makaburi ya familia kijijini Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga.
Baba mdogo wa marehemu, Alhaj Mzee Yusuf Mfinanga akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Christopher Mfinanga wakati wa mazishi yaliyofanyika jana Juni 3, 2020 katika makaburi ya familia kijijini Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga. 
Padre Japhet Njaule wa parokia ya Vuchama akipanda msalaba kweye kaburi la aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Christopher Mfinanga wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana Juni 3, 2020 katika makaburi ya familia kijijini Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga.
Mama mzazi wa Christopher Mfinanga akiweka shada la maua wakati wa mazishi yaliyofanyika jana Juni 3, 2020 katika makaburi ya familia kijijini Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga
Mama mzazi wa aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Christopher Mfinanga akipita kuaga mwili wa mwanaye wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika jana Juni 3, 2020 kijijini Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga. 
 Mchungaji Bill Grahama Msangi wa KKKT Usharika wa Vuchama akihitimisha ibada ya mazishi ya aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Christopher Mfinanga wakati wa mazishi yaliyofanyika jana Juni 3, 2020 katika makaburi ya familia kijijini Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga.
Makaburi mawili, moja la Baba na jingine la mwana. Kulia mbele ni kaburi la aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Christopher Mfinanga na la kushoto ni la Baba yake Mzee Edward Dologha Mfinanga aliyefariki jijini Arusha Mei 19, 2020 na kuzikwa Mei 21, 2020 kijijini kwake Mangio, Vuchama, wilayani Mwanga.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.