Habari za Punde

Mgombea wa 16 wa Urais wa Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma Achukua Fomu ya Urais leo Asubuhi.

Kada wa Chama cha Mapinduzi Mwakilishi wa Jimbo la Amani Mhe. Rashid Ali Juma akikabidhiwa Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar kupitia  CCM na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg.Galos Nyimbo.Akiwa Kada wa 16 wa CCM kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia CCM, Hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

Kada wa Chama cha Mapinduzi Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma akisaini kitabu cha wageni wanaofika kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar  kupitia CCM na kulia Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg.Galos Nyimbo.Hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma akitoka katika jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui baada ya kukamilisha zoezi la uchukuaji wa Fomu ya Urais akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.