Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa
Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM katika
Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM Dkt.
Bashiru Ally Kakurwa katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo
tarehe 17 JUNI 2020.

wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka
katika Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe 17 JUNI 2020 mara baada
ya kuchukua Fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais kwa Tiketi ya CCM.

Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wanachama wa CCM katika Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe 17 JUNI
2020 mara baada ya kuchukua Fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais kwa
Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika badae mwaka huu.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wanachama wa CCM katika Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe 17 JUNI
2020 mara baada ya kuchukua Fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais kwa
Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika badae mwaka huu.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka
katika Ofisi ya CCM Makao Makuu ya Mkoa Dodoma mara baada ya kupata wadhamini wa
Chama chake cha Mapinduzi CCM.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment