Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KIBAMBA-KISARAWE MKOANI PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ili kuzindua mradi mkubwa wa maji wa Kibamba-Kisarawe katika sherehe zilizofanyika Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua maji kwenye eneo la mradi wa Kibamba -Kisarawe mkoani Pwani mara baada ya kuzindua mradi huo mkubwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua maji kwenye eneo la mradi wa Kibamba -Kisarawe mkoani Pwani mara baada ya kuzindua mradi huo mkubwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishika maji ya bomba mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa Maji wa Kibamba-Kisarawe mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishika maji ya bomba mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa Maji wa Kibamba-Kisarawe mkoani Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakati wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Dawasa Eng. Cyprian Luhemeja wakati alipokuwa akitoa maelezo ya miradi mbalimbali ya Maji katika mkoa wa Dar es Salaam na Kisarawe mkoani Pwani.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.