Habari za Punde

MAJALIWA AZINDUA MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA MKOANI KATAVI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba yenye kiwango cha daraja la kwanza iliyokuwa ikipimwa wakati alipozindua ununuzi wa zao hilo mkoani  Katavi  kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama  cha Msingi cha Ushirika cha  Kasekese wilayani Tanganyika, Julai 4, 2020, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba yenye kiwango cha daraja la kwanza iliyokuwa ikipimwa wakati alipozindua ununuzi wa zao hilo mkoani  Katavi  kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama  cha Msingi cha Ushirika cha  Kasekese wilayani Tanganyika.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba wakati alipokagua ghala   baada ya kuzindua  ununuzi wa zao hilo mkoani  Katavi  kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama cha Msingi cha Ushirika cha Kasekese wilayani Tanganyika, Julai 4, 2020. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homela na Wa tatu kulia ni Mkurugenzi  Mkuu wa Bodi ya pamba, Marco, Tunga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada   ya kuzindua  ununuzi wa pamba  Mkoani Katavi  kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama cha Msingi cha Ushirika cha Kasekese wilayani Tanganyika, Julai 4, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.