Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluh Hassan, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar.  
Wajumbe wa Kikao  cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibaer wakiwa wamesimama wakipiga makofi wakati wa kuwasili kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akitoa ajenda za Kikao cha Kamatii Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakati wa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(kulia) kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 4/7/2020, (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa kukifungua Kikao cha Kamati Maalu ya Halmashauri ya CCM Taifa Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi. 
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia Kikao hicho wakati wa ufunguzi uliofanywa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia Kikao hicho wakati wa ufunguzi uliofanywa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar wakipitia makabrasha ya ajenda za Kikao kabla ya kuaza, Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. 
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar wakipitia makabrasha ya ajenda za Kikao kabla ya kuaza, Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. 
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar wakipitia makabrasha ya ajenda za Kikao kabla ya kuaza, Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.