Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Malindi na Mafunzo Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu Hizo Zimetoka Sare ya 0 -0.

Mshambuliaji wa Timu ya Mafunzo Jaku akiwa nyavuni baada ya kuukosa mpira na kupapatua katika nyavu za Timu ya Malindi, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
Beki wa Timu ya Malindi akijaribu kumzuiya mshambuliaji wa Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana 0 -0.
Wachezaji wa Timu ya Malindi na Mafunzo wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana.
Mshambuliaji wa Timu ya Mafunzo akijaribu kuwapita mabeki wa Timu ya Malindi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar,mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.