Habari za Punde

Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi Azuru Kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Wawi Pemba.

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Hussein Mwinyi (katikati) wakisoma Quran mara baada ya kufika katika kaburi la marehemu Dk.Omar Ali Juma, huko Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Hussein Mwinyi (katikati), akiitikia dua iliyosomwa na mmoja ya Mashekhe wa kijiji cha Wawi, baada ya mgombea huyo kuzuru kaburi la marehemu Dk.Omar Ali Juma aliyefariki dunia Juali 4 mwaka 2001 na kuzikwa kijijini kwao, huko Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Hussein Mwinyi, akitia saini kitabu cha wageni baada ya kumaliza muombea dua Marehemu Dk.Omar Ali Juma aliyefariki dunia 4/07/2001 na kuzikwa kijijini kwao Wawi Wilaya ya Chake Chake
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Hussein Mwinyi, akisalimiana na wanafamilia na wananchi wa Wawi Wilaya ya Chake Chake,  mara baada ya kuzuru kaburi la marehemu Dk.Omar Ali Juma, huko Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Hussein Mwinyi, akisalimiana na Afisa Fatwa kutoka Ofisi ya Mufti Pemba Shekhe Said Ahmad, wakati alipowasili katika kaburi la Marehemu Dk. Omar Ali Juma huko Wawi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.