Habari za Punde

Mkutano wa Mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi. Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, wakati wa mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akitokea Dodoma baada ya kuteuliwa jina lake kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwaka 2020. (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi.
Mgombea Urais wa Zanzibar  kupitia tiketi ya CCM Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya mapokezi yake akitokea Dodomo na kuzungumza na Wanachama wa CCM Zanzibar.  

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi wakiwa katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa mkutano maalum wa mapokezi ya Mgombea wa CCM Urais Zanzibar.
Katibu wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Ndg. Mgeni Mussa Haji akisoma risala ya mapokezi ya Mgombea wa Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi. katika viwanja vya Afisi Kuu Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa hafla ya mkutano wa Mapokezi.
Katibu Mwenezi CCM Zanzibar Bi. Catherine Peter Nao akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar kumkaribisha mgeni rasmin kuzungumza katika hafla ya mkutano wa mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar, katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. 
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  pia  ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wanachama wa CCM na kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi kwa Wananchi wa Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa mkutano wa mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkaribisha na kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein  Mwinyi kwa Wanachama wac CCM Zanzibar katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar baada ya kuwasili akitokea Dodoma.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Wanachama wa CCM Zanzibar wakati wa hafla ya mkutano wa mapokezi  yake  uliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi wakati akiwahutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. wakati wa hafla ya mapokezi yake alipowasili akitokea Dodoma.
Baadhi ya Wanachama wa CCM waliokuwa wametia nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM wakifuatilia hutuba ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. wakati wa hafla ya mapokezi yake akitokea Dodoma. 
Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Karume, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Bi. Leila Ngozi, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hutuba ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe, Dkt. Hussein Mwinyi akiwahutubia katika mkutano wa mapokezi yake uliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.  
Wanachama na Viongozi wa CCM Zanzibar wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Husseinn Mwinyi akiwahutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(hayupo pichani) 
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar pia ni  Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said (mwenye miwani) akifuatilia hutuba ya Mgombea Urais wa Zanzibar wakati wa hafla ya mkutanio wa mapokezi uliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Wanachama na Viongozi wa CCM Zanzibar wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Husseinn Mwinyi akiwahutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(hayupo pichani) 
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi wakati akiwahutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. wakati wa hafla ya mapokezi yake alipowasili akitokea Dodoma.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi wakati akiwahutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. wakati wa hafla ya mapokezi yake alipowasili akitokea Dodoma.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakifuatilia hutuba ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakjati wa mkutano wake wa mapokezi uliofanyika katika viwanja vya Afisi ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na viongozi (kushoto kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Vuai Mwinyi na (kulia kwa Rais) Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Karume na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.