Habari za Punde

Mkurugenzi wa NEC Azungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma.


Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk.Wilson Mahera (katikati) akizunghumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Tume Njendengwa Jijini Dodoma leo ambapo ametangaza majimbo 18 ya uchaguzi ambayo wagombea wake wamepita bila kupingwa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Givness Aswile na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Dk. Cosmas Mwaisobwa. 

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk.Wilson Mahera (katikati) akizunghumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Tume Njendengwa Jijini Dodoma leo ambapo ametangaza majimbo 18 ya uchaguzi ambayo wagombea wake wamepita bila kupingwa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Givness Aswile na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Dk. Cosmas Mwaisobwa. (Picha na NEC).


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.