Habari za Punde

Mkutano wa Kwanza wa Jumuiya ya Kuwasaidia Wanawake Wajane Zanzibar. (ZAWIO)

Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Dkt, Maudline Castico, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Jumuiya ya Kusaidia Wanawake Wajane Zanzibar (ZAWIO) uliofanyika katika ukumbi wa Wasanii Rahaleo Jijini Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano wa Mkuu wa Kwanza Jumuiya ya Kuwasaidia Wanawake Wajane Zanzibar (ZAWIO)  uliofanyika katika ukumbi wa Wasanii Rahaleo Jijini Zanzibar wakimfuatilia hutuba ya ufunguzi wa mkutano huo wakati Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Dkt.Maudline Castico.

3 comments:

  1. Habari, tunahitaji kujiunga na chama , tunaomba kujuw utaratibu ukoje, na wap ofisi ilipo

    ReplyDelete
  2. Habari, tunahitaji kujiunga na chama , tunaomba kujuw utaratibu ukoje, na wap ofisi ilipo

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.