Habari za Punde

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saimon Sirro Azungumza na Viongozi wa Vyama vya siasa Zanzibar

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP.Saimon Sirro akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar kuhusiana na kudumisha  Amani kuelekea katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 28 Oktoba  2020. amewataka kuendeleza hali ya amani inaendelea Nchini 
Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar  (CP) Mohamed Hassan Haji akizungumza wakati wa mkutano wa Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar uliofanyika Makamo Makuu wa Polisi Ziwani Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Vyama Vya Siasa Zanzibar wakifuatilia mkutano wao na IGP Sirro wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Polisi Ziwani Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.