Habari za Punde

Taarifa ya Kupotea Kwa Ndg. Juma wa Juma Kwa Mtu Yoyote Mwenye Taarifa Yake Anaombwa Kuwasiliana na Jamaa Zake kwa Namba za Simu Hapo Chini.

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.

Kwa yeyote ataekua na taarifa za mzee wetu Juma wa Juma au kumuona sehemu yeyote katika hali yoyote tafadhali tunaomba kupatia taarifa yake msiache kuwasiliana na sisi leo siku ya 3 hajulikani wapi alipo tangu alipoondoka kwenda kufanya mazoezi hajarudi nyumbani na hatujapata taarifa yoyote hadi sasa habari yoyote kuhusu yeye. 
Namba zetu ni
0777415834
0777843215

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.