Mgombea ubunge Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akihakiki nyaraka muhimu kabla ya kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kugombea Jimbo la Kisesa. wengine ni Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Charles Mazuri kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Meatu, Juma Mwiburi
Wagombea Ubunge wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina (kulia) na Leah Komanya Jimbo la Meatu (kushoto ) wakijaza fomu za Tume ya Uchaguzi kuomba kuteuluwa kugombea majimbo hayo kwa ajili ya uchaguzi mkuu mwaka huu.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akizungumza na madiwani walioteuliwa na CCM kiugombea kwenye kata za Jimbo la Kisesa muda mfupi baada ya kujeresha fomu ya kugombea ubunge 2020.
NCHI ZA AFRIKA KULETA SAMPULI ZAO KUCHUNGUZWA TANZANIA
-
*MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema kuwa kutokana na umahiri wa
maabara zilizopo kwenye Mamlaka hiyo zimeweza kutoa huduma ya upimaji wa
sampu...
12 minutes ago
No comments:
Post a Comment