Habari za Punde

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA PERAMIHO SONGEA VIJIJINI

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM 2020/25  Mbunge Mteule wa Jimbno la Peramiho Mhe. Jenista Muhagama  kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za CCM baada ya kuwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Peramiho katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A) Wilaya ya Songea Vijijini Mkoani Ruvuma
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi  Jimbo la Peramiho  mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A) Wilaya Songea Vijijini Mkoani Ruvuma
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM 2020/25  Mbunge Mteule wa Jimbno la Peramiho Mhe. Jenista Muhagama  kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za CCM baada ya kuwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Peramiho katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A) Wilaya ya Songea Vijijini Mkoani Ruvuma. 
Kijana JImy Sammwel (18) Mwanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Mposeni Wilaya ya Songea Vijijini akiwa na Picha yenye Sura ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipofika kwenye mkutano CCM uliofanyia katika Uwanja  wa Tanmasha Peramiho Wilaya ya Songea Vijijini leo
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM 2020/25  Mbunge Mteule wa Jimbno la Peramiho Mhe. Jenista Muhagama  kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za CCM baada ya kuwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Peramiho katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A) Wilaya ya Songea Vijijini Mkoani Ruvuma
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM 2020/25  Mbunge Mteule wa Jimbno la Peramiho Mhe. Jenista Muhagama  kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za CCM baada ya kuwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Peramiho katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A) Wilaya ya Songea Vijijini Mkoani Ruvuma

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mbunge Mteule wa Jimbno la Peramiho Mhe. Jenista Muhagama  alipowasili katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A) Wilaya ya Songea Vijijini Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 16,2020.           

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.