AFISA mdhamini Wizara
ya Fedha na Mipango Pemba, ambye pia mjumbe wa jimbo wa Wawi kupitia CCM
Ibrahim Saleh Juma, akimkabidhi moja ya fulana ya “Wawi Tunaweza” mmoja wa
Vijana wa UVCCM Tawi la CCM Wawi Yussuf Abeid, uzinduzi uliofanyika huko Wawi.
AFISA mdhamini Wizara
ya Fedha na Mipango Pemba, ambaye pia ni mjumbe wa jimbo la Wawi kupitia Chama
Cham mapinduzi, Ibrahim Salehe Juma akizungumza na wanachama wa UVCCM Tawi la
Wawi, wakati wauzinduzi wa flana za uhamasshaji “Wawi Tunaweza” huko Wawi.
MKURUGENZI wa SOS
Zanzibar Bi.Asha Salim Ali, akizumza na kutoka shehia ya Vitongoji, Chonga,
Michenzani, Tumbe Mashariki na Tumbe Magharibi, wakati wamafunzo ya siku tano
juu ya ujasiriamali kwa vijana hao.
VIJANA kutoka shehia ya Vitongoji, Chonga, Michenzani, Tumbe
Mashariki na Tumbe Magharibi, wakifuatili ulufungu wa mafunzo ya siku tano ya
ujasiriamli, mafunzo yaliyotolewa na SOS Pemba na kufanyika mjini Chake Chake.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment