Habari za Punde

Matukio ya Picha Kuwasili Kwa Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk Hussein Mwinyi Viwanja Vya Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.J

Mgombea Urais wa Zanzibar kwac Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM) MheDk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwapungia mkono WanaCCM na Wananchi wa Zanzibar wakati alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya CCM Zanzibar. akiwasalimia Wananchi katika uwanja huo. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwasalimia WanaCCM alipokuwa akiwasili katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akielekea katika jukwaa kwa Viongozi baada ya kumaliza kuwasalimia WanaCCM katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar, katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni leo.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dk. Hussein Mwinyi akimsalimia Mama Fatma Karume wakati akiwasili katika Jukwaa Kuu la Viongozi katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dk. Hussein Mwinyi akimsalimia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi,wakati akiwasili katika Jukwaa Kuu la Viongozi katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dk. Hussein Mwinyi akimsalimia na Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwasili katika Jukwaa Kuu la Viongozi katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.