Habari za Punde

Mgombea Mwenza wa Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Aendelea na Kapeni Yake Mkoani Ruvuma.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana   na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa kijiji cha Mchomoro Nantumbo  alipokuwa njiani akielekea Nantumbo Mjini kwa ajili ya kuhutubia mkutano  ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 14,2020. Makamu wa Rais ameanza ziara rasmi ya kampeni Mkoani Ruvuma. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)          

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.