Habari za Punde

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ikungi-Singida

Wananchi wa Ikungi mkoani Singida wakimshangilia Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili wakati akitokea Wilaya ya Bahi kwenye Mikutano ya Kampeni za Urais.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ikungi mkoani Singida wakati akielekea Singida mjini kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa Chama cha Mapinduzi CCM

Wananchi wa Ikungi mkoani Singida wakimshangilia Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili wakati akitokea Wilaya ya Bahi kwenye Mikutano ya Kampeni za Urais.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika jambo katika hotuba yake kabla ya kuanza kuzungumza na Wananchi wa Ikungi mkoani Singida.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.