Habari za Punde

Mgombea Urais wa CCM Rais Dkt. John Magufuli Angurumisha Sera Mbele ya Maelfu ya Wananchi wa Bukoba Mjini.

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza sala ya kuombea wanafunzi 10 waliofariki na wengine kujeruhiwa kwa ajali ya moto katika Shule ya Msingi Islamic Byamungu iliyopo kata yaIrera Wilayani Kyerwa mkoani Kagera iliyotokea majuzi kabla ya kuanza kwa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020.
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba 
Maelfu kwa Maelfu ya Wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba . 
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Bukoba mjini na Waziri wa Maliasili na Utalii Mstaafu Balozi Khamis Juma Suedi Kagasheki akimnadi Bw. Stephen Byabato (aliyejishika mikono) kugombea ubunge wa jimbo hilo huku Meya Mstaafu wa Manispaa ya Bukoba Dkt. Anatory Amani (kulia) akingoja kufanya hivyo katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba.
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo Bukoba Vijijini Mhe. Jason Rweikiza huku wabunge wateule wa CCM Viti maalum wakingoja zamu zao baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba 
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba
 Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba. 

Wasani wa TMK wakiwa na alama kuu za CCM baada ya kutumbuiza kwenye mkutano wa kampeni viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.