Habari za Punde

Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Mwenza wa Rais wa Tanzania CCM Mhe Samia Suluhu Hassan Newela Mjini Mtwara

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM ya 2020/25 Mbunge mteule kwa tiketi ya CCM Jimbo la Newala Mjini Kapten Geoge Huruma Mkuchika kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM  katika mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Septemba 11,2020 katika uwanja wa Sabasaba Newala Mjini.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Newala Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Newala Mjini  
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Newala Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Newala Mjini leo Septemba 11,2020.   (Picha  na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.