Habari za Punde

Mkutano wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni Jimbo la Chonga Pemba.

MENEJA Kampeni za CCM Mkoa wa Kusini Pemba Mohamed Aboud Mohamed, akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Chonga Juma Mohamed Juma, kwa wananchi na wanaCCM wa jimbo hilo, wakati wauzinduzi wa kampeni za jimbo hilo huko Pujini Wilaya ya Chake Chake
MENEJA Kampeni za CCM Mkoa wa Kusini Pemba Mohamed Aboud Mohamed, akimtambulisha mgombea Uwakilishi jimbo la Chonga Sulieman Massoud Makame, kwa wananchi na wanaCCM wa jimbo hilo, wakati wauzinduzi wa kampeni za jimbo hilo huko Pujini Wilaya ya Chake Chake
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Yussuf Ali Juma, akimtambulisha meneja kampeni za CCM Mkoa wa Kusini Pemba Mohamed Aboud Mohamed kwa wananchi na wanaCCM, wakati wa Ufunguzi wa Mkapeni za CCM jimbo la Chonga Wilaya ya Chake Chake
MENEJA kampenzi za CCM Mkoa wa Kusini Pemba Mohamed Aboud Mohamed, akiwahutubia wananchi na wanaCCM wa Jimbo la Chonga Wilaya ya Chake Chake, wakati wa Ufunguzi wa Kampeni za chama hicho katika uwanja wa Pujini

VIONGOZI mbali mbali wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba, katikati ni mwenyekiti wa CCM Mkoa huo Yussuf Ali Juma, akifuatilia mkutano wa uzinduzi wakamopeni za chama hicho katika jimbo la Chonga Wilaya ya Chake Chake.

MJUMBE wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM Jimbo la Chonga Wilaya ya Chake Chake, huko katika uwanja wa Pujini.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.