Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akitembelea mradi wa kusarifu Taka (SOLIDWASTE AND SAUDGE MANAGMENT FOR ZAZNIBAR URBAN MUNICIPAL)amabao upochuni ya ZUSP Kibele wilaya ya Kati Unguja.
Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akipata maelekezo kutoka kwa (Materials Engineer) Seif Mazige kuhusiana na mradi wakusarifu Taka(SOLIDWASTE AND SAUDGE MANAGMENT FOR ZAZNIBAR URBAN MUNICIPAL)amabao upochuni ya ZUSP Kibele wilaya ya KatiUnguja.
Baadhi ya wafanya kazi wa mradi huo wakiendelea nakazi ya kusarifu Taka(SOLIDWASTE AND SAUDGE MANAGMENT FOR ZAZNIBAR URBAN MUNICIPAL)amabao upochuni ya ZUSP Kibele wilaya ya Kati Unguja.
PICHA NA FAUZIA MUSSA /MAELEZO
No comments:
Post a Comment