Habari za Punde

Mkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya CCM Dk. Hussein Mwinyi Viwanja vya Bumbwini Makoba Uwanja wa Sisi kwa Sisi.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM Mgombea Ubunge Jimbo la Mahonda Zanzibar Mhe. Abdalla Ali Hassan Mwinyi, wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk Hussein Mwinyi zilizofanyika katika Bumbwini Makoba uwanja wa Sisi kwa Sisi.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatambulisha Wagombea Udiwa wa CCM wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Zanzibar uliofanyika Bumbwini Makoba katika uwanja wa Sisi kwa Sisi.
Mgombea Ubunge Jimbo la Mahomba kwa Tiketi ya CCM Mhe, Abdalla Ali Hassan Mwinyi akizungumza kwa niaba ya Wagombea Ubunge .Uwakilishi na Madiwani wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja katika viwanja vya Bumbwini Makoba  Sisi kwa Sisi na kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli na Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wote wa CCM na kujiombea yeye mwenyewe kuchagulia kuwa Mbunge waJimbo la Mahonda Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi na kulia (kwake) Mke wa Rais wa Zanzibaer Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi wakifuatilia mkutano wa kampeni wakati Mgombea Ubunge Jimbo la Mahonda akizungumza kwa niaba ya wagombea wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja katika viwanja vya Bumbwini Makomba vya Sisi kwa Sisi. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja akiwa katika mikutano yake ya kampeni na kuomba kura kwa Wananchi na kuwaombea kura Wagombea wa CCM, mkutano huo umefanyika katika uwanja wa Sisi kwa Sisi Bumbwini Makoba.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Bumbwi Makomba katika viwanja vya mpira vya Sisi kwa Sisi Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja akiwa katika mikutano yake ya Kampeni kuomba kura kwa Wananchi na kuitangaza Ilani ya Uchaguzi ya CCM na vipaumbele vyake baada ya kuchagukuliwa kuwa Rais wa Zanzibar.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakimshangilia Mgombea wa Urais wa Zanzibar wakati akitangaza sera zake katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Sisi kwa Sisi Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakimshangilia Mgombea wao wa Urais wa Zanzibar wakati akitangaza sera zake katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Sisi kwa Sisi Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakimshangilia Mgombea wao wa Urais wa Zanzibar wakati akitangaza sera zake katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Sisi kwa Sisi Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Team Mwinyi Kwanza wakimshangilia Mgombea wa Urais wa Zanzibar wakati akitangaza sera zake katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Sisi kwa Sisi Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.
Umati wa Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais wa Zanzibar wakati akitangaza sera za Chama Chake  viwanja vya Sisi kwa Sisi Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.