Habari za Punde

Marais Wastaaf Walivyowasili Viwanja Vya Demokrasia Kibanda Maiti na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk Hussein Mwinyi.

Mwenyekiti wa CCM Mstaaf na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi alipowasili katika uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti wakati wa mkutano wa ufungaji wa Kampeni za CCM Zanzibar juzi 25.10/2020.
Mwenyekiti Mstaaf wa CCM na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe,.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtania Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Hussein Mwinyi akimcheki mapigo ya moyo baada ya kumsalimia alipowasili katika viwanja vya Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar katika hafla ya Ufungaji wa Kampeni za CCM juzi 
Mwenyekiti wa CCM Mstaa na Rais  Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpa hai Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe/Dkt. Hussein Mwinyi wakati wa ufungaji wa mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar juzi.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa  tiketi ya CCM Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, wakati hafla ya mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa  tiketi ya CCM Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, wakati hafla ya mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, wakati wa mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar. 
Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Karume akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi, wakati wa hafla ya ufungaji wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, wakati hafla ya mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzan ia Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi wakifurahia jambo wakiwa katika viwanja vya Demokrasia kuhudhuria mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM Zanzibar.
Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Karume alipojuwa akiwasili katika  viwanja vya Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar kuhudhuria mkutano wa ufungaji wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt, Hussein Mwinyi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.