Habari za Punde

MASAUNI ATEMBELEA MAJERUHI WA VURUGU ZA KISIASA KISIWANI PEMBA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza mmoja wa majeruhi wa vurugu zilizotokea juzi Visiwani Pemba, Ndg.Khatibu Said Khatibu ambapo alijeruhiwa maeneo ya tumboni na mgongoni kwa kuchomwa kisu na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza  Mganga Mkuu wa Hospitali ya Micheweni, Dkt.Mbwana Shoka wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, Khatibu Said Khatibu ambapo alijeruhiwa maeneo ya tumboni na mgongoni kwa kuchomwa kisu na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo,ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Micheweni, Dkt. Mbwana Shoka wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba,Khamis Hamad Haji  na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Micheweni, Dkt. Mbwana Shoka(kulia) wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, Raya Khamis Hamad(aliyekaa) na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.