Habari za Punde

Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania Kwa Tiketi ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan Afunga Kampeni za CCM Pemba Uwanja wa Gombani ya Kale.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa Ufungaji wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kisiwa cha Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba leo Octoba 24,2020.

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kisiwa cha Pemba  wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa  ufungaji wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo Octoba 24,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 
 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.