Habari za Punde

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Ameagwa Leo Katika Ukumbi wa SUZA wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu SUZA Wilaya ya Kati Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika maandamano  wakati wa hafla ya kumuaga iliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe na (kulia kwa Rais) Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Dkt. Zakia Mohammed, wakielekea katika ukumbi. leo 6/10/2020
WANATAALUMA wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar  wakiwa katika maandamano wakielekea katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja wakati wa hafla ya kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar iliofanyika katika ukumbi huo leo 6/10/2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili katika ukumbi wa DK.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu, kuhudhuria hafla ya kumuaga iliofanyika katika ukumbi huo na (kulia kwa Rais) Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Dkt. Zakia Mohammed na (kushoto kwa Rais) Waziri  wa Elimu na Mafunzo wa Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Ndg. Mwita Mgeni.
BAADHI  ya Viongozi  wa Serikali na Vyama vya Siasa wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 
SHEIKH Suwed Ali Suwed akisoma Qur-an wakati wa hafla ya kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu SUZA leo
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Dkt. Zakia Mohammed akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 
MAKAMU Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar Ndg. Mwita Mgeni akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. hafla hiyo imewfanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia picha yake ya kuchora wakati akikabidhiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe na (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Ndg. Mwita Mgeni, wakati wa hafla ya kumuaga iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa zawadi ya picha yake ya kuchora na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pemba wakati wa hafla ya kumuaga iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) na (kulia kwa Rais) Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Dkt. Zakia Mohammed na Profesa Saleh Idriss.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa SUZA. na (kulia kwa Rais) Makamu Mkuu wa SUZA Dkt.Zakia Mohammed na Profesa Saleh Idriss Muhammad na (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa Baraza la SUZA Ndg. Mwita Mgeni, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pemba na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Dkt. Idriss Muslim Hija.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akikabidhi Cheti Maalum na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la SUZA Ndg. Mwita Mgeni wakati wa hafla ya kumuaga iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati leo 6/10/2020.na (kulia kwa Rais) Makamu Mkuu wa SUZA Dkt. Zakia Mohammed na Profesa Saleh Idriss na (kushoto  kwa Makamu wa Baraza la SUZA) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe na Katibu Mkuu wa Wizara hiyto Dkt. Idriss Muslim Hija

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akikabidhiwa zawadi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe, wakati wa hafla ya kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) na (kulia kwake) Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Dkt. Zakia Mohammed, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya kumuaga iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) leo 6/10/2020 Wilaya ya Kati Mkoa  Kusini Unguja.
VIONGOZI wa Serikali na Vyama vya Siasa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya kumuaga iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Tungu Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati.
WANATAALUMA na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar wakihudhuria hafla ya kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akihutubia katika ukumbi wa Dk Ali Mohameed Shein Tunguu (SUZA) leo


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.