Habari za Punde

Mradi wa Nyumba za Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar Wazinduliwa leo 12/10/2020.

Muonekano wa moja ya majengo Matano ya Ghorofa ya Mradi wa Mj Mpya wa Kahani Jijini Zanzibar yakiwa na jumla ya nyumba 71 yamefunguliwa leo 12/10/2020 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. na kuwakabidhi  baadhi ya Wananchi Watatu funguo za Nyumba zao wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo la byumba hizo kwahani.
 

1 comment:

  1. Asalmm alaikumm mim naomba no ya office zao hizi nyumba na piya je zinakodishuwa hizi nymba naomb jibu tafadhal

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.