Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM akiwasalimia viongozi mbalimbali pamoja na Wanachama wa CCM mara baada ya kuwasili Kisiwani Zanzibar wakati akitokea Tunduma mkoani Songwe

Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM akiwasalimia Vijana wa CCM pamoja na Wanachama wa CCM mara baada ya kuwasili Kisiwani Zanzibar wakati akitokea Tunduma mkoani Songwe
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment