Habari za Punde

Gwaride Maalum la Vikosi Vya Ulinzi na Usalama Katika Hafla ya Kuapishwa Rais wa Jamuhuri wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Jijini

Kikosi cha Bendera kikipita kwa mwendo wa kasi wakitowa heshima kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Tanzania zilizofanyika juzi 5/11/2020 katika Uwanja wa Jamuhurin Jijini Dodoma.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuri, akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali katika jukwaa kuu wakiwa wamesimama wakati likipita Gwaride Maalum lililoandaliwa kwa ajili ya sherehe za kuapishwa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli zilizofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma juzi 5/11/2020.
Gwaride Maalum la JWTZ wakipita kwa mwendo wa kasi wakitowa heshima kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Magufuli zilizofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma juzi 5/11/2020.
Gwaride Maalum Kikosi cha Jeshi la Polisi  FFU Wanawake wakipita kwa mwendo wa kasi wakitowa heshima kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Magufuli zilizofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma juzi 5/11/2020.
Gwaride Maalum Kikosi cha Jeshi la Magerza Wanawake wakipita kwa mwendo wa kasi wakitowa heshima kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Magufuli zilizofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma juzi 5/11/2020.

Kikosi Maalum cha  JWTZ  wakipita kwa mwendo wa kasi wakitowa heshima kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Magufuli zilizofanyika katika uwanja wac Jamuhuri Jijini Dodoma juzi 5/11/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.