Habari za Punde

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA KUHUSU KUPANDA KWA BEI YA SARUJI NCHINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa  kwenye kikao alichokiendesha kwa njia ya  video kilichohusu tatizo la kupanda kwa bei ya saruji nchini.  Alikuwa  ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 21, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.