Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mhe.John Pombe Magufuli Ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma leo.

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar  Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, kilichofanyika leo Mkoani Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na (kulia kwa  Dk Shein) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Mkoani Dodoma leo 28/11/2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati wakiimba Wimbo wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM muda mfupi kabla ya kuanza kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo 28 Novemba, 2020 jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Mkoani Dodoma leo  28 jijini Dodoma  na (kulia kwa Mwenyekiti) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM wakisoma makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) kulia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar  Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Kuu, kilichofanyika leo Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein pamoja na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, wakati wakitoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika jijini Dodoma leo 28 Novemba 2020. Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.