Habari za Punde

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu.Prof.James Mdoe Atembelea Ofisi za Bodi ya Mikopo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe (wa pili kulia) akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (kulia) na wajumbe wa Menejimenti ya HESLB wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya HESLB Tazara Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Novemba 12, 2020.
Mkurugenzi Upangaji Mikopo Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Dkt. Veronica Nyahende akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe wakati wa ziara iliyofanywa na Prof. Mdeo kutembelea ofisi za makao makuu ya HESLB Tazara Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Novemba 12, 2020. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.