Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Azungumza na Uongozi wa Shirika la Bandari Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji na Viongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,wakiwepo na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Nd.Khamis Mussa Omar.
[Picha na Ikulu] 04/11/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.