Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Alim Mwinyi Ajumuika na Waumini Katika Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya Kuiombea Nchi Amani Iliofanyika Masjidi Mwitani Wete Pemba leo 18-12-2020.wa Kiisla

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibae Sheikh. Mahmoud Mussa Ngwali alipowasili katika viwanja vya Masjid Mwitani Wete Pemba kuhudhuria Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua Maalum ya kumuombea na kuiombea Nchi Amani iliofanyika baada ya Sala ya Ijumaa.WAUMINI wa Dini ya Kiislam Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa nje ya Masjid Mwitani Wete wakijumuika katika Dua Maalum ya kuiombea Nchi Amani na kumuombea Dua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani ) baada ya kumalizika Sala ya Ijumaa iliofanyika msikitini  hapo leo.18-12-2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika Dua Maalum ya kumuombea Alhajj Dk Hussein Mwinyi na kuiombea Nchi amani, ikisomwa na Sheikh Abdalla Rashid Abdalla, iliofanyika katika Masjid Mwitani Wete Mkoa wa Kaskazni Pemba leo 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Dua ya kuiombea Nchi Amani na kumuombea dua, iliofanyika katika Masjid Mwitani Wete Pemba leo baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kuhitimisha Dua Maalum ya kumuombea na kuiombea Nchi Amani ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na iliofanyika katika Masjid Mwitani Wete Pemba leo 
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ya kuhitimisha ikisomwa nna Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, iliofanyika katika Masjid Mwitani Wete Pemba leo 18-12-2020 baada ya Sala ya Ijumaa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Dua Maalum ya Kuiombea Nchi Amani iliofanyika katika Masjid Mwitani Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Dua Maalum ya Kuiombea Nchi Amani iliofanyika katika Masjid Mwitani Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Ngwali , baada ya kumalizika kwa Dua Maalum ya kumuombea na kuiombea Nchi Amani iliofanyika katika Masjid Mwitani Wete Pemba


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.