Habari za Punde

Kaimu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto azungumza na wahudumu wa Afya walioajiriwa karibuniKaimu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto ambae pia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akizungumza na wahudumu wa Afya ambao ni waajiriwa wapya (Orderlies) katika hospitali ya Rufaa Mnazi Mmoja Mjini Unguja. katika mazungumzo hayo  aliambatana na kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya rufaa Mnazi Mmoja Dkt  Msafiri Marijani.
Na Maulid Yussuf WEMA

Kaimu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto ambae pia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akizungumza na wahudumu wa Afya ambao ni waajiriwa wapya (Orderlies) katika hospitali ya Rufaa Mnazi Mmoja Mjini Unguja. katika mazungumzo hayo aliambatana na kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya rufaa Mnazi Mmoja Dkt  Msafiri Marijani .

Na Maulid Yussuf WEMA
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.