Habari za Punde

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Atembelea Uwanja wa Ndege wa Sheikh Abeid Amani Karume kukagua Huduma Za Kiuhamiaji

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), baada ya kumaliza ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akimsikiliza Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), wakati wa  ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (katikati), wakati wa  ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), wakati wa ziara ya ukaguzi wa mradi wa ukarabati wa nyumba za askari polisi wa uhamiaji(zinazoonekana pichani), zilizopo Kiembe Samaki,Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.