Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Asaa Ahmad Rashid  mara alipowasili katika viwanja vya  ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu zilizofanyika leo .[Picha na Ikulu.] 29/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idriss Kitwana Mustafa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman wakielekea  ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika   sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Maadili na haki za Binadamu zilizofanyika leo.[Picha na Ikulu.] 29/12/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika  sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Maadili na haki za Binadamu zilizofanyika leo ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 29/12/2020.

Baadhi ya Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi wakiwa  katika Kilele cha siku ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu  katika sherehe zilizofanyika leo ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Iklulu] 29/12/2020

Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwa  katika Kilele cha siku ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu  katika sherehe zilizofanyika leo ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Iklulu] 29/12/2020.

ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa Hutuba yake kwa Viongozi mbali mbali katika   Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu.] 29/12/2020.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa hafla ya   Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu.] 29/12/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.