Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi Amezungumza na Vikundi Vya Wajasiriamali Mkoa wa Kusini Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na baadhi ya Vikundi vya Wajasiriamali mbalimbali kutoka Mkoa wa Kusini Pemba wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwezi wa Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Pemba
BAADHI ya Wajasiriamali kutoka Vikundi mbalimbali katika Mkoa wa Kusini Pembe wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa  mkutano wake na kutowa shukrani kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar , mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba Wilaya ya Chakechake

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro akizungumza wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Husseinn Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Vikundi vya Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.