MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohammed Mahmoud
akizungumza na Viongozi mbali mbali, wananchi na wanachama wa kikundi cha Youth
Catering and Cleaners Group cha Wete, wakati wa uzinduzi wa kikundi hicho huko
Bopwe.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MLEZI wa Kikundi cha Youth Catering and Cleaners
Group cha Wete, ambae pia ni mbunge wa jimbo la Kojani Hamad Hassan Chande
akitoa maelezo juu ya kikundi hicho huko Bopwe Wete, wakati wa uzinduzi wa
kikundi hicho.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
VIONGOZI wa majimbo mbali mbali Mkoa wa Kaskazini
Pemba, wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa kikundi cha Youth Catering and
Cleaners Group cha Wete, uzinduzi uliofanyika Bopwe Wete Mkoa wa Kaskazini
Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohammed
Mahmoud, akifanya uzinduzi wa kikundi cha Youth Catering and Cleaners cha Wete,
kwa kukagua vyakula mbali mbali ambavyo vimepikwa na wanakikundi hao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment