Habari za Punde

Ujumbe wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki watembelea Mradi wa Ujenzi wa SGR

Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Mipango, Miundombinu, Fedha na Utawala Eng. Steven Mlote akifualia mada iliyokuwa ikiwalishwa na mtalaamu wa ujenzi kuhusu hatua mbalimbali zilizofikiwa katika ujenzi wa mradi wa treni ya kisasa (SGR) mara baada ya kuwasili katika eneo la makutupola jijini Dodoma. 
Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote akiwa na Mhandisi Ignas Lymo kutoka Shirika la Reli Tanzania wakitokea kwenye moja ya handaki (tunnel) la kupita treni.

Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote akisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalamu alipotembelea moja ya handaki (tunnel) ya kupita treni ambalo lipo katika hatua za mwisho za ujenzi.

 

Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote  (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watalumu wa ujenzi na Watumishi wa Shirika la Reli Tanzania nje ya handaki (tunnel) la kupia treni.
Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote akifualia mada iliyokuwa ikiwalishwa na mtalaamu wa ujenzi kuhusu hatua mbalimbali zilizofikiwa katika ujenzi wa mradi wa treni ya kisasa (SGR) mara baada ya kuwasili katika eneo la kambi ya Soga, mkoani Pwani.
Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote akitembea pembezoni wa reli ambayo ipo katika hatua za mwisho za ujenzi.
Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote akijadili jambo na watalamu wa ujenzi wa reli ya kisasa alipotembelea ili kujionea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo
Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote akisikiliza malezo kutoka kwa Mhandisi Ignas Lyimo kutoka Shirika la Reli Tanzania alipotembelea Stesheni ya Treni ya Morogoro mjini.
Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote akiendelea kusikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi Ignas Lyimo kutoka Shirika la Reli Tanzania alipotembelea Stesheni ya Treni ya Morogoro mjini.

 Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote akisikiliza maElezo kutoka kwa mataalamu alipotembelea Stesheni ya Treni ya iliyopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.