MKUU wa kitengo cha Bidhaa na Bei kutoka Kampuni ya simu ya Zantel, Aneth Jamillah Muga, (kulia) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kuzinduliwa huduma ya (HABA NA HABA, HUNUNUA SMARTA) Kushoto ni Mkuu wa Zantel Zanzibar Mohamed Mussa (Baucha). (PICHA NA ABDALLA OMAR
MKUU wa kitengo cha Bidhaa na Bei kutoka Kampuni ya simu ya Zantel, Aneth Jamillah Muga, (kulia) akionyesha kipeperushi chenye maelezo ya huduma kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kuzinduliwa huduma ya (HABA NA HABA, HUNUNUA SMARTA). (PICHA NA ABDALLA OMAR
No comments:
Post a Comment